Tanzania: U Rwanda ruganire na FDLR
SADC/ICGLR MINISTERIAL MEETING PRESS RELEASE
Hon. Membe urges international support to dissolve FDLR.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe (Mb.)
akizungumza na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa hapa nchini kuhusu masuala mbalimbali ya nchi ikiwa ni pamoja na nia ya kikundi cha uasi cha FDLR ya kuweka silaha chini na ziara ya Mabalozi na Wawakilishi hao Butiama. Wengine katika picha ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.), kulia kwa Waziri Membe, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Bw. John Haule (wa kwanza kulia), Mkuu wa Mabalozi na Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) , Mhe. Juma Alfani Mpango (wa pili kulia) na Naibu Katibu Mkuu, Balozi Rajabu Gamaha (wa kwanza kushoto) . Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Mabalozi wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani)
Sehemu nyingine ya Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa nchini wakimsikiliza Mhe. Membe.
Sehemu ya Wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakiwa katika kikao kati ya Mabalozi wa Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa nchini.
Baadhi ya Wakurugenzi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Balozi wa Sudan hapa nchini (kulia) wakifuatilia maelezo ya Mhe. Membe (hayupo pichani)
Mabalozi, Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa hapa nchini pamoja na Wakurugenzi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani)
Waziri Membe akisalimiana na Mwakilishi wa Papa Bennedict XVI hapa nchini, Balozi Francisco Montecillo Padilla mara baada ya kumaliza kikao.
Mhe. Membe akisalimiana na Balozi wa Zambia hapa nchini, Mhe. Judith Kangoma Kapijimpanga.
Mhe. Membe akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu mazungumzo kati yake na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa hapa nchini.
Sehemu ya Waandishi wa Habari wakiwa kazini
Mhe. Membe akiendelea kutoa taarifa kwa Waandishi wa Habari
Meza kuu wakimsikiliza Mhe. Membe (Picha na Reginald Philip)
——————————————————————–
Posted by Foreign Affairs News at 4:27 PM
The Truth can be buried and stomped into the ground where none can see, yet eventually it will, like a seed, break through the surface once again far more potent than ever, and Nothing can stop it. Truth can be suppressed for a “time”, yet It cannot be destroyed. ==> Wolverine